Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, ...
Kwa muda sasa, siasa za Uingereza zimekuwa zikionekana kama za mzaha. Wanasiasa wakuu katika nchi za Ulaya ya Magharibi wamekuwa wakiviangalia vituko vya siasa za Uingereza kwa mshangao mkubwa. Wakati ...
Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imezuia kwa muda shughuli za kisiasa za Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema. Hii ni baada ya aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho ...
Dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge kwa wanachama wa chama tawala nchini Tanzania CCM limefunguliwa rasmi leo kufuatia uteuzi wa wagombea wa chama uliofanywa na Halmashauri Kuu ya CCM. Dirisha la ...
Seneta pekee mweusi wa chama cha Republican, Tim Scott, amezindua rasmi Ijumaa katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha urais nchini Marekani kwa mwaka 2024, ingawa kura za maoni zinampa 2% tu ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results